Thursday, October 13, 2011

MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Mwl.JULIUS alifundisha watu wengi na mambo mengi kwa muda mfupi.Na hapa ndipo nakubali usemi kuwa "UALIMU NI WITO".Kutoka TABORA,PUGU hadi MAGOGONI,Mwalimu huyu alisisitiza sana UWAJIBIKAJI pasipo KUBAGUANA.Alijitahidi kufanya mambo MAZURI bila kusahau na udhaifu kidogo katika mabaya yote hii ni katika kusaidia jamii za kiafrika.